BWANA BONIFACE MYALA AKIWA NA MKEWE EMMY SEGITO KATIKA PICHA YA PAMOJA

Happy five years anniversary to us.
Hakika Mungu ni mwaminifu na fadhili zake ni za milele.
Si kwa akili zetu ila ni kwa Neema ya Mungu wetu.
Siku zote umekuwa pamoja nasi hata sasa tunapoadhimisha kumbukumbu ya miaka 5 ya sakrament takatifu ya ndoa hii.
Tunaomba uwepo wako uendelee kukaa nasi BABA YETU , Uendelee kuwa
KIONGOZI, GONGO LETU, JEMEDARI ,SIMBA WA YUDA, MWALIMU NA MFARIJI WETU
MWEMA.
Nakupenda my hubby Boniface Richard Myalla.
Category:

0 comments