ADVERTISE WITH US

KS
_DSC4508

_DSC4462
BW HARUSI : ELIJAH  BI HARUSI : MONICA  MC/MUZIKI : MC HIPOLOPOLO_DSC4467 _DSC4485 _DSC4488 _DSC4498 _DSC4500 _DSC4503 _DSC4508 _DSC4509 _DSC4512 _DSC4529 _DSC4545 _DSC4549 _DSC4552 _DSC4553 _DSC4554 _DSC4577 _DSC4583 _DSC4587 _DSC4596 _DSC4667 _DSC4684 _DSC4688 _DSC4704 _DSC4709 _DSC4712 _DSC4718 _DSC4721 _DSC4723 _DSC4724 _DSC4728 _DSC4729 _DSC4730 _DSC4732 _DSC4734 _DSC4735 _DSC4736

Chid Benzi akiwa studio akifanya mahojiano tazama hapa



Akiongea kwa uchungu kwenye kipindi cha Da Weekend Chat Show cha Clouds TV jana, Chidi ambaye mwili wake umepungua kwa kiasi kikubwa, amesema bado uwezo kimuziki anao lakini wale aliowaita wadau walioushikilia muziki wamemtupa.

Amesema wakati wa kilele chake, alikuwa akifanya show kila siku katika wiki, lakini kwa sasa mambo yamebadilika kabisa. “Matatizo yangu na stress zangu ambazo niko nazo zinanisababishia mwili wangu unapungua kwasababu siko okay, siko poa, siko sawa yaani,” alisema.

Chidi amedai kuwa kuna watu wanaamini kuwa kama akiwa juu, wasanii wengi wa hip hop watakuwa na wakati mgumu. “Hawa Joh Makini sijui, nani wanakuwa hawapo. Sasa hakuna mdau anayeweza kukubali akina Joh Makini wasikuwepo awepo Chidi Benz peke yake,” alisema.

Katika hatua nyingine Chidi alisema pamoja na afya yake kuzorota, hivi karibuni alipiga show kwa masaa mawili hadi mama yake akalia. "Mama yangu akaniambia mwanangu unafanya show two hours, show kali watu wanapenda unachokifanya lakini sioni mwamko wa watu kutokea kukusaidia, kwahiyo tufanye mpango watu wakusaidie' na mimi namuambia nataka watu wanisaidie, natamani kusaidiwa, natamani kupata mafanikio anayopata Diamond," alisisitiza.



Happy five years anniversary to us.
Hakika Mungu ni mwaminifu na fadhili zake ni za milele.
Si kwa akili zetu ila ni kwa Neema ya Mungu wetu.
Siku zote umekuwa pamoja nasi hata sasa tunapoadhimisha kumbukumbu ya miaka 5 ya sakrament takatifu ya ndoa hii.


Tunaomba uwepo wako uendelee kukaa nasi BABA YETU , Uendelee kuwa KIONGOZI, GONGO LETU, JEMEDARI ,SIMBA WA YUDA, MWALIMU NA MFARIJI WETU MWEMA.
Nakupenda my hubby Boniface Richard Myalla
.
 
Vow exchange ceremony
PHOTO BY NGOMA QUALITY & SERVICES
 
 
Whether you want to get your guests giggling or grabbing for the Kleenex, penning your promises will truly personalize your wedding. Steal ideas from these self-written vows from couples who crafted custom ones.

Jevan to Alithea

“I promise to love and care for you, and I will try in every way to be worthy of your love.
I will always be honest with you, kind, patient and forgiving.
I promise to try to be on time.
But most of all, I promise to be a true and loyal friend to you.
I love you."

Amy and Russell to one another

“You are my lover and my teacher,
You are my model and my accomplice,
And you are my true counterpart.
I will love you, hold you and honor you,
I will respect you, encourage you and cherish you,
In health and sickness,
Through sorrow and success,
For all the days of my life."

Laine and Shane to one another

“I promise to be your lover, companion and friend,
Your partner in parenthood,
Your ally in conflict,
Your greatest fan and your toughest adversary.
Your comrade in adventure,
Your student and your teacher,
Your consolation in disappointment,
Your accomplice in mischief.
This is my sacred vow to you, my equal in all things. All things."

Anne and Gabrielle to one another

“I take you to be my partner for life
I promise above all else to live in truth with you
And to communicate fully and fearlessly,
I give you my hand and my heart
As a sanctuary of warmth and peace
And pledge my love, devotion, faith and honor
As I join my life to yours."

Mike and Anne to one another

“On this day,
I give you my heart,
My promise,
That I will walk with you,
Hand in hand,
Wherever our journey leads us,
Living, learning, loving,
Together,
Forever."